CAJ na MCK washutumu ukiukaji wa haki

  • | KBC Video
    12 views

    Tume ya utekelezaji haki na baraza la vyombo vya habari humu nchini zimeshutumu visa vya dhuluma dhidi ya wanahabari na maafisa wa polisi vilivyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya kupinga mswada tata wa fedha wa mwaka- 2024 , Akiongea wakati wa uzinduzi wa afisi ya tume hiyo mjini Meru, mwenyekiti wa tume hiyo Florence Kajuju alitaja dhuluma hizo kuwa ukiukwaji haki za binadamu na ukandamizaji uhuru wa vyombo vya habari. Kuhusu afisi mpya ya tume hiyo huko Meru , Kajuju aliwahimiza wakazi wa Meru na viunga mwake kutumia afisi hiyo akiongeza kuwa anatumaini afisi hiyo itapunguza mrundiko wa kesi mahakamani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive