Serikali yaagiza ripoti za uwajibikaji kutoka kwa wakfu wa Ford

  • | KBC Video
    185 views

    Serikali yaagiza ripoti za uwajibikaji kutoka kwa wakfu wa Ford

    Wakfu wa Ford unadaiwa kufadhili mashirika-16 ya kijamii humu nchini

    Kulikuwa na tetesi kuwa wakfu huo unafadhili maandamano ya Gen-Z

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive