Naibu Gachagua atoa wito kwa Gen Z kusitisha maandamano

  • | K24 Video
    26 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa vijana hasa wanarika wa Gen Z kusitisha maandamano yao akiwahakikishia kuwa serikali imewasikiza na itatekeleza matakwa yao. Akizungumza huko Kirinyaga, Gachagua amesema licha ya kuwa maandamano ni haki ya kila mkenya, maandamano hayo yameleta hasara ikizingatiwa kuwa kuna baadhi ya wahuni ambao wanatumia maandamano hayo kutekeleza uhalifu.