Wakfu wa matumaini wa 'Tom and Sherry' wazinduliwa rasmi

  • | Citizen TV
    677 views

    Watoto Zaidi Kutoka Familia Zisizojiweza Na Wanaonusuriwa Kutokana Na Dhulma Watanufaika Na Ufadhili Wa Wakfu Wa Tom & Sherry Uliozinduliwa Rasmi. Miongoni Mwa Wanaolengwa Ni Wasichana Wanookolewa Kutoka Ndoa Za Mapema Na Wanaotoroka Tohara. Uzinduzi Wa Wakfu Huu Uliofanyika Eneo La Mukurwe-Ini Kaunti Ya Nyeri Pia Umeongoza Ufadhili Wa Zaidi Ya Wanafunzi 100, Kama Kamau Mwangi Anavyoarifu