Kundi la mwisho la 'Team Kenya" lawasili mji wa Ufaransa wa Marseille

  • | Citizen TV
    1,243 views

    Kundi La Mwisho La Timu Kenya Kwa Ajili Ya Kambi Ya Mazoezi Ya Miramas Liliwasili Katika Mji Wa Ufaransa Wa Marseille Jumapili Mchana Na Kuelekea Miramas Kwa Mkondo Wa Mwisho Wa Maandalizi Ya Michezo Ya Olimpiki Ya Paris 2024.