Mashirika ya kijamii yaikashifu serikali

  • | K24 Video
    67 views

    Muungano wa mashirika ya kiraia nchini Kenya umetangaza masharti kadhaa kwa serikali kabla ya kuanza mazungumzo. Wanataka serikali kutambua kwa majina na kuomba msamaha waathiriwa wa ukatili wa polisi, na kulipa fidia kwa vyombo vya habari vilivyolengwa, pia, wanasisitiza umuhimu wa kushughulikia changamoto tofauti za kitaifa kama vile kurekebisha mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ambao unawazuia vijana wengi kupata elimu.