Timu ya likoni one ndio mabingwa wa mchuano wa Dola super cup kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    661 views

    Timu ya likoni one ndio mabingwa wa mchuano wa dola super cup kaunti ya mombasa baada ya kuwalaza wenzao wa likoni two kupitia matuta ya penalti.