Wakaazi wa Kiambu wanufaika na kambi ya matibabu ya afya ya kiakili

  • | KBC Video
    4 views

    Mamia ya wakazi wa Kiambu wamenufaika na kambi ya uchunguzi wa matibabu kwa uhisani wa hospitali ya Nairobi kwa ushirikiano na kanisa la Word of Faith church na shirika la Bansol la kutoa ushauri nasaha wa afya ya kiakili kwa jamii .Washirika hao walisema kuwa magonjwa ya kiakili yamekuwa changamoto kubwa katika eneo hilo akiongeza kuwa kuna haja ya kushughulikia suala hilo kwa haraka.Pia walipongeza juhudi za serikali kukabiliana na uuzaji wa pombe haramu katika eneo hilo wakisema kuwa watafadhili juhudi hizo hadi pale zogo hilo litaangamizwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive