- 1,020 viewsJe? ni njia zipi zitumike kuleta mageuzi chanya kuhusiana na kampeni za upotoshaji zenye lengo la kudanganya mifumo ya habari Afrika,? kampeni hizo ambazo zimeripotiwa kuongezeka mara nne tangu mwaka 2022 na kudhoofisha demokrasia na maendeleo Afrika. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Kampeni za upotoshaji zaongezeka Afrika | VOA Swahili
- - KTN Prime Highlights ››
- 23 Jul 2025 - Police are investigating a puzzling security breach after a convicted inmate, now identified as Alex Kibisu, vanished from Kibera Law Courts shortly before a sentencing hearing.
- 23 Jul 2025 - Fears are growing that six children from one family are among dozens who have died in what appears to be a fresh wave of the Shakahola massacre. They survived the first Shakahola massacre, but this time, they weren’t so lucky.
- 23 Jul 2025 - Leaders allied to the Kenya Kwanza administration have come out strongly in defence of Deputy President Prof. Kithure Kindiki’s ongoing empowerment programme, dismissing criticism from the opposition as baseless and politically motivated.
- 23 Jul 2025 - Eighteen youths who were arrested during Saba Saba protests in Mwea, Kirinyaga County, will be released on a cash bail of Ksh.40,000 after the Wanguru Law Court reduced the bail from Ksh.50,000.
- 23 Jul 2025 - The High Court in Kisumu has dismissed a case against human rights activist Boniface Akach, citing lack of evidence.
- 23 Jul 2025 - Doctors stationed at the Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) in Eldoret have formally sounded the alarm, issuing a 14-day strike notice to protest what they term as blatant violation of agreements and worsening working conditions.
- 23 Jul 2025 - ODM CEO Oduor Ong’wen has come out strongly in defence of the party’s Secretary General Edwin Sifuna amid rising criticism over his constant opposition of the political outfit’s working arrangement with the ruling UDA.
- 23 Jul 2025 - Chiromo Hospital Group has broken its silence following the murder of Dr. Susan Njoki, a nurse and founder of Toto Touch organisation, who was strangled to death at Chiromo Hospital Group, Braeside branch.
- 23 Jul 2025 - The ruling is non-binding, but legal experts say it could have wide-ranging consequences
- 23 Jul 2025 - Stephen Munyakho, the Kenyan man who faced execution in Saudi Arabia, is expected to return home today following his release on Tuesday after satisfying a judicial decree.