- 667 viewsKampeni za uchaguzi ndani ya chama cha Democratic, Marekani huenda zikabadilika baada ya Rais Joe Biden kutoa taarifa Jumapili kwamba anajiondoa katika kinyang’anyiro cha urais mwaka 2024. Ametangaza kumuunga mkono Makamu Rais Kamala Harris. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 24 Jul 2025 - For decades, African nations have largely looked outwards for development financing, relying heavily on foreign aid, concessional loans, and direct foreign investment. While these sources have played a role, they often come with conditionalities,…
- 24 Jul 2025 - Kenya Wildlife Service (KWS) has attributed its recent increase in park entry fees to chronic underfunding by the State, warning that a lack of a sustainable financial model risks undermining its conservation efforts. The agency is now targeting Ksh12…
- 24 Jul 2025 - Conzana Cornelius Mangati, the founder of Saidia Community Initiative, arrived at the Kakuma Refugee Complex 20 years ago as a displaced child from war-ravaged South Sudan. To date, she has not been provided with any identification document. The 27-…
- 24 Jul 2025 - Medical services in Kiambu County are set to grind to a complete halt on Thursday as doctors, led by their union, announced a major shutdown and protest march in a standoff now nearing its 60th day.
- 24 Jul 2025 - There is a worrying lack of depth in the way many young Kenyans, especially Gen Z, engage with politics. For Gen Z, everything is about “vibes”. Everything is “down with the system”. But when you strip away the slogans and trending hashtags, what’s left…
- 24 Jul 2025 - Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has cited rising cases of multibillion-shilling fraud related to land and overseas jobs in Eldoret as a serious concern. Speaking in President William Ruto’s hometown on July 23, 2025, Murkomen said the…
- 24 Jul 2025 - Speaking in his Parliament Buildings office during meeting with the NCIC delegation led by the Chairperson Rev. Samuel Kobia, Wetang’ula underscored the critical role played by NCIC to maintain National Unity and Harmony.
- 24 Jul 2025 - Activist and political commentator Morara Kebaso has outlined some of the reasons why he announced that he was
- 24 Jul 2025 - Democracy for Citizens Party (DCP) Rigathi Gachagua has lauded the energy and impact of youthful leaders he has
- 24 Jul 2025 - Auditor General Nancy Gathungu has exposed how the Teachers Service Commission (TSC) overpaid teachers’ salaries by Sh433.9 million, with the majority of these funds remaining unrecovered. The audit report for the year ending June 2024 reveals that…