Shughuli za kawaida zilitatizwa Kisii na Nyamira

  • | Citizen TV
    2,782 views

    Shughuli za kawaida katikati ya mji wa Kisii zilitatizika leo hii kufuatia maandamano ambapo makabiliano yalizuka kati ya waandamanaji na genge moja la vijana kuwalazimu polisi kuutawanya umati huo. na kaunti jirani ya Nyamira pia ilikuwa na machafuko wakati vijana walipoandamana barabarani kutaka gavana Amos Nyaribo kung'atuliwa mamlakani.