Barabara za kuingia uwanja wa JKIA zililindwa zaidi

  • | Citizen TV
    6,741 views

    Usalama uliimarishwa kwenye barabara zote za kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kufuatia tisho la kuvamia uwanja huo na waandamanaji. Maafisa wa usalama walionekana wakishika doria huku shughuli chache tu zikionekana kwenye barabara za Mombasa na Outering.