- 113 viewsKatika vijiji vilivyotelekezwa na jamii mbalimbali karibu na mpaka kusini mwa Lebanon, majeshi ya Israeli na wapiganaji wa Hezbollah waliangalia kwa miezi kadhaa, wakihama na kujiweka tayari kwa mapambano wakati wakisubiri kushuhudia vita kamili iwapo vitaanza. Tangu kuanza kwa vita vya Gaza Oktoba mwaka jana, pande hizo mbili zimekuwa zikurushiana wimbi la makombora, roketi, mizinga na mashambulizi ya anga katika mivutano ambayo haijapelekea vita kamili. Maelfu ya watu wamehamishwa kutoka pande zote mbili za mpaka na matumaini kwamba watoto wataweza kurejea kuanza masomo katika mwaka mpya wa masomo ifikapo Septemba inaelekea umekwama kufuatia tangazo la Waziri wa Elimu wa Israel Yoav Kisch Jumanne kuwa hali hivi sasa ilivyo haitaruhusu hilo kufanyika. “Vita inaelekea viko vile vile kwa miezi tisa iliyopita,” Luteni Kanali Dotan, Afisa wa Israeli, ambaye aliweza kutambuliwa kwa jina lake la kwanza. “Tunasiku nzuri za kuishambulia Hezbollah na siku mbaya ambazo wanatushambulia. Ni kama tunalingana kwa hilo, mwaka mzima, miezi yote tisa.” - Reuters #majeshi #israeli #wapiganaji #hezbollah #vita #voa #voaswahili #benjaminnetanyahu #golanheights
Israel na Hezbollah wakijiweka tayari kwa vita kamili iwapo itaanza
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - 2025 08 09 21 18 16 ››
- 10 Aug 2025 - Energy Principal Secretary Alex Wachira has said that electricity vandals were on the rise thereby causing economic sabotage in the country disrupting services and endangering communities and hence called on security to put efforts in tackling the vice.
- 10 Aug 2025 - India shot down five Pakistani fighter jets and one other military aircraft during clashes in May, India's air force chief said on Saturday, the first such statement by the country months after its worst military conflict in decades with its neighbour.
- 10 Aug 2025 - Haiti's former national palace security chief, Vladimir Paraison, was appointed national police chief by the country's transitional government on Friday, as the Caribbean nation looks to battle armed gangs that have displaced over a million people.
- 10 Aug 2025 - The commerce department has started issuing licenses to Nvidia to export its H20 chips to China, a U.S. official told Reuters on Friday, removing a significant hurdle to the AI bellwether's access to a key market.
- 10 Aug 2025 - Colombian president Gustavo Petro announced Friday the start of fresh talks with Clan del Golfo, the country's largest drug-trafficking gang and the world's largest producer of cocaine.
- 10 Aug 2025 - Ruto and allies flirting with danger by chest thumping about 2027 poll
- 10 Aug 2025 - Which way to resolve late funds disbursement to counties?
- 10 Aug 2025 - NPS condemns mob justice, urges respect for human dignity and law
- 10 Aug 2025 - Three teens challenge blanket ban on sex between adolescents
- 10 Aug 2025 - DP Kindiki's national economic empowerment programme stirs debate