'Nimesaidia kuokoa nyoka 6000 katika miaka 10'
Vedhapriya Ganesan ni miongoni mwa wanawake wachache wanaosaidia na kuokoa nyoka katika jiji la India la Chennai na kuwapeleka katika msitu wa hifadhi.
Anafanya kazi hiyo ili kupunguza migogoro ya nyoka na binadamu katika maeneo ya mijini.
Kwa sababu ya misitu na mito mingi iliyoko Chennai, nyoka wamekuwa wengi na mara nyingi huingia katika maeneo ya makazi wakati wa msimu wa masika.
Ganesan amechaguliwa na serikali ya eneo hilo kufanya kazi na maafisa kuwaokoa nyoka hao na kuwaachilia katika misitu ya hifadhi.
Anasema ameisaidia timu yake kuokoa zaidi ya nyoka 6000 katika kipindi cha miaka 10 iliyopita
#bbcswahili #india #wanyama
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen