Serikali yaanza kampeni ya kukomesha ukeketaji wa wasichana katika eneo la Kuria

  • | Citizen TV
    122 views

    Serikali imeanza kampeni ya kukomesha ukeketaji wa wasichana katika eneo la Kuria kabla ya msimu wa ukeketaji kuanza. Wanaharakati wa haki za wasichana wanasema kuwa tayari kuna dalili kuwa baadhi ya watu wanapanga kuendeleza mila hiyo.