Wasomi wamtaka Rais Ruto kuwateua wataalam serikalini kwenye nyadhifa mbalimbali za serikali.

  • | Citizen TV
    1,768 views

    Wasomi kutoka eneo la magharibi wanamshauri rais william ruto kuwateua wataalam kwenye nyadhifa mbalimbali za serikali. Wakizungumza katika kaunti ya Trans Nzoia, wasomi hao wanasema sekta nyingi ya serikali zimefeli kwasababu wanayozisimamia sio wataalamu kwneye idara hizo.