Msambweni three ndio mabingwa wa mchuano wa Dola Kwale

  • | Citizen TV
    252 views

    Timu ya Msambweni three ndio mabingwa wa mchuano wa Dola Super Cup kaunti ya Kwale baada ya kuinyeshea msambweni two mabao manne kwa nunge.