Mudavadi awaaga walimu 60 kuelekea Marekani

  • | Citizen TV
    4,649 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amewahakikishia wananchi wanaoishi ughaibuni kuwa serikali itawalinda na kuhakikisha kuw amaslahi yao yameshughulikiwa.