Shujaa warejea nchini baada ya kumaliza nafasi ya tisa katika Olimpiki

  • | Citizen TV
    594 views

    Timu ya taifa ya raga kwa wachezaji saba shujaa imerudi nchini usiku wa jana ikitokea Paris iliposhiriki kwenye michezo ya olimpiki.