Dorcas Agik Oduor ateuliwa Mwanasheria Mkuu

  • | Citizen TV
    1,582 views

    Dorcas Agik Oduor ataandikisha historia kama mwanasheria mkuu wa kwanza wa kike iwapo ataidhinishwa na bunge. Hii ni baada ya rais William Ruto kumteua kuchukua wadhifa huo uliosalia wazi baada ya Justin Muturi kufutwa kazi.