Wadau wa elimu wana hofu ya kukatwa kwa bajeti

  • | Citizen TV
    262 views

    Vyama vya waalimu nchini sasa vinaonya hatari ya sekta ya elimu kufuatia kupunguzwa kwa bajeti iliyotengewa elimu nchini. Vyama hivi vikisema kuwa, kupunguzwa kwa bajeti kutaathiri pakubwa utekelezaji wa mtaala wa CBC na hata kuweka hali ya walimu katika njia panda. Na walimu hawa sasa wanatishia kuandamana endapo sh bilioni kumi hazitarejeshewa sekta hii