Wanachama wa UDA wamedai kumfurusha Cleopas Malala

  • | Citizen TV
    2,193 views

    Haya yakijiri, kundi la wanachama wa UDA wamejitokeza kushinikiza kubanduliwa kwa Cleopas Malala kama Katibu mkuu. Kundi hili la watu waliojitaja kuwa wanachama wa kudumu wakimtangaza wakili Joe Khalende kuwa katibu mkuu mpya kutwaa nafasi ya Malala. Kundi hili likimlaumu Malala kwa kile wanasema ni kutatiza shughuli za serikali ya Kenya Kwanza licha ya kuwa katibu mkuu wa chama tawala