Maafisa watatu wa naibu rais wahojiwa kuhusu maandamano

  • | Citizen TV
    3,298 views

    Maafisa watatu wasaidizi wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, wameandikisha taarifa na maafisa wa DCI kuhusiana na maandamano ya vijana yaliyokumba taifa. Watatu hawa wamehojiwa kwa tuhuma za kuchangia maandamano haya.