Walinzi wa mbuga kutoka kaunti za Laikipia, Samburu washerehekea hatua za kupunguza uwindaji haramu

  • | Citizen TV
    144 views

    Leo Ikiwa siku ya kusherehekea mchango wa walinzi wa wanyamapori duniani, walinzi wa mbuga kutoka kaunti za Laikipia na Samburu wanasherehekea hatua walizopiga katika kupunguza mzozo kati ya wanyamapori na binadamu na vile vile uwindaji haramu.