Siku ya walinzi wa wanyamapori yaandaliwa Meru

  • | Citizen TV
    120 views

    Hafla ya kuadhimisha siku ya walinzi wa mbuga inafanyika kaunti ya Meru. tuungane moja kwa moja na Mwanahabari wetu Gregory Murithi akiwa katika kijiji cha Murera kwa mengi zaidi