Bunduki yasalimishwa Bangale, kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    435 views

    Maafisa wa usalama katika mji wa Bangale kaunti ya Tana River, wamepata bunduki moja aina ya AK 47 inayoaminika kutumika katika kutekeleza visa vya uhalifu eneo hilo.