Tessie Mudavadi ataka vifo miongoni mwa akina mama na watoto kupunguzwa

  • | Citizen TV
    265 views

    Eneo Pana La Kaskazini Mashariki Mwa Nchi Bado Linakumbwa Na Visa Vingi Vya Maafa Miongoni Mwa Akina Mama Na Watoto.Kwa Mujibu Wa Mke Wa Mkuu Wa Mawaziri Tessie Mudavadi,Visa Hivyo Vinachangiwa Na Baadhi Ya Mila Zilizopitwa Na Wakati.