Viongozi wataka serikali itwae silaha haramu West Pokot

  • | Citizen TV
    96 views

    Viongozi wa kaunti ya pokot magharibi wameitaka wizara ya usalama kukaza kamba katika oparesheni ya kutwaa silaha haramu zilizoko mikononi mwa raia katika bonde la Kerio.