KVDA yajenga bwawa la maji eneo la Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    55 views

    Ni afueni kwa wakazi wa wadi ya Emsoo, kaunti ya elgeyo marakwet, hii ni baada ya serikali kupitia mamlaka ya maendeleo katika bonde la Kerio KVDA kujenga mabwawa katika eneo la kapchelal ili kupata maji safi pamoja na kuendeleza miradi ya unyunyizaji maji mashamba.