- 532 viewsDuration: 2:33Maombi maalum yamefanyika leo kwa mwanaharakati wa Kenya Nicholas Oyoo na mwenzake Bob Njagi waliotoweka nchini Uganda. Ikiwa ni siku kumi na moja sasa baada ya kutoweka kwao, familia za wawili hawa zinamtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kuhakikisha jamaa zao wameachiliwa huru na kurejeshwa nyumbani salama