Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    109 views

    Serikali inaweka mikakati kuboresha utendakazi wa wahudumu wa afya ya jamii ,kwa kushirikiana na mashirika kama vile wakf wa matibabu barani Afrika AMREF.Akisema serikali sasa inaelekeza juhudi zake katika kuzuia magonjwa,katibu wa afya ya umma Mary Muthoni aliwapongeza wahudumu wa afya katika kaunti ya Embu kwa kusajili asilimia 72 ya wakazi.Kwa habari hizo na nyingine ni katika taarifa za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive