12 Oct 2025 7:52 pm | Citizen TV 194 views Duration: 47s Mashabiki wa soka ya wanawake kaunti ya Kisumu walishuhudia mechi ya ushindani wa hali ya juu wakati Kisumu Allstarlets walipotoka sare ya mabao mawili na Soccer Assassins katika ligi kuu ya wanawake