Ndoto ya Mwaresa katika mashindano ya Olimpiki

  • | Citizen TV
    5,778 views

    Kenya inajivunia mwanariadha wa mbio fupi hasa mita 400 Boniface Mweresa, kando na Ferdinand Omanyala. Hii leo ndiye mwanamichezo tunayemuangazia kwenye makala yetu ya wasifu wa Olimpiki.