Gavana wa Laikipia Joshua Irungu afanya kikao na vijana ili kutadhmini nini kinachowakera

  • | NTV Video
    260 views

    Huku vijana wa Gen Z wakijiandaa kwa maandamano ya Nane Nane siku ya Alhamisi, Gavana wa kaunti ya Laikipia Joshua Irungu amefanya kikao na vijana kutoka maeneo tofauti ya kaunti hiyo kwa lengo la kuwaskiliza na kutadhmini Haswa ni nini kinachowakera. Kaunti hiyo ilikadiria hasara ya zaidi ya Sh Milioni 150 kufuatia uharibifu uliofanywa na vijana wakati wa maandamano dhidi ya serikali. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya