- 870 viewsMkuu wa Wafanyakazi wa Jeshi la Ulinzi Nigeria, Jenerali Christopher Musa, ameeleza kupeperusha bendera ya kigeni wakati wa maandamano dhidi ya serikali ni “kosa la uhaini” baada ya kufanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu Jumatatu. Maelfu ya watu wamejitokeza mitaani huko Kano, mji mkuu Abuja, na miji mingine mikubwa wakati wa maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi na uhalifu. Shirika la Amnesty International lilisema kuwa watu wasiopungua 13 wameuwawa katika mapambano na polisi tangu kuanza kwa maandamano hayo, ambayo yamepewa jina “#10DaysOfRage.” Polisi wameeleza idadi ya vifo ni saba, wakisema baadhi ya vifo vilitokana na ajali mbalimbali na vilipuzi. (Reuters) #nigeria #russia #tinubu #voa
Waandamanaji wabeba bendera za Russia wakilalamikia hali ngumu ya uchumi
- 7 Aug 2025 - The United Nations is set to expand its base in Kenya as Agencies, Funds and Programmes relocate some of their regional and global operations to Kenya.
- 7 Aug 2025 - President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
- 7 Aug 2025 - President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Police are expected to adhere to the directive within the next seven days.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Eric Mutai has called for the 'dissolution' of the county.
- 7 Aug 2025 - The proposal to outlaw boda bodas came from one of Ruto's top advisers.
- 7 Aug 2025 - New user registrations for the platforms rose by 10,440 to reach 41,265.
- 7 Aug 2025 - His latest pronouncement comes amid public concerns.
- 7 Aug 2025 - President Ruto stated that boda boda operators are legitimate entrepreneurs whose businesses must be supported.