Watu 4 wamejeruhiwa eneo la Msumarini kaunti ya Kilifi kutokana na utata wa umiliki wa ardhi

  • | Citizen TV
    2,125 views

    Watu wanne wanauguza majeraha ya mishale baada ya kuvamiwa na genge la vijana wanaodaiwa kukodiwa kuwafurusha wakaazi wa kijiji cha msumarini kaunti ya Kilifi.