Polisi nchini Nigeria katika jimbo la Plateau, Nigeria waliwapanga mstari washukiwa 51 kati yao watoto wanaotuhumiwa kusababisha ghasia wakati wa maandamano ya hivi karibuni yaliyofanyika katika majimbo kadhaa hususan upande wa kaskazini mwa nchi.
Vijana wengi walimiminika mitaani wiki iliyopita Alhamisi katika miji mikubwa kupinga hali ngumu ya uchumi na ukosefu wa usalama.
Serikali ilisema maandamano katika majimbo mengi ikiwemo la Plateau yalitekwa nyara na kile vyombo vya usalama walichokielezea ni magenge ya wahuni ambao wanadaiwa kuiba na kuharibu mali za serikali na watu binafsi.
Baadhi ya washukiwa waliokamatwa na kufikishwa Mahakama Kuu ya jimbo wanakabiliwa na mashtaka yanayo husiana na kupeperusha bendera za Russia wakati wa maandamano.
“Ninatoa onyo kali kwa wale wote wanaofanya ghasia na maadui wa jimbo tafadhali waondoke na kuliacha jimbo la Plateau.”
Msemaji wa Kituo cha Polisi Jimbo la Plateau, Naibu Mkuu wa Polisi, Alfred Alabo aliiambia VOA.
Shirika la Amnesty International limeishutumu mamlaka kwa kutumia nguvu na hata risasi za moto kuvunja maandamano yaliyopangwa kumalizika Jumamosi.
#nigeria #russia #tinubu #voa
16 Jul 2025
- The labor minister in economically depressed Cuba resigned Tuesday amid an uproar over her claim that people rummaging through garbage cans were only pretending to be poor and not truly desperate.
16 Jul 2025
- Nigeria's former President Muhammad Buhari was buried on Tuesday in the backyard of his home in northern Katsina state, as residents climbed trees to bid farewell to the 82-year-old.
16 Jul 2025
- Israeli strikes on the Bekaa Valley in eastern Lebanon killed 12 people on Tuesday, Lebanese state media reported, as the Israeli army said it hit Hezbollah targets in the area.
16 Jul 2025
- A religious party has quit Israel's ruling coalition in a dispute over military service, leaving Prime Minister Benjamin Netanyahu with a razor-thin majority in parliament but still enough political support to secure a potential Gaza ceasefire.
16 Jul 2025
- The devolved unit has reported 21 cases since August 31 last year, when it confirmed its first case involving a 37-year-old male truck driver The post Nakuru County government intensifies surveillance on Mpox virus appeared first on KBC Digital .
16 Jul 2025
- Residents of Migadini in Changamwe, Mombasa County, are living in fear after a mysterious disease has claimed four lives under unclear circumstances. According to locals, the victims’ bodies were found swollen, with peeling skin, a condition that has…