Skip to main content
Skip to main content

Wagombea wa uchaguzi mdogo wa Malava wataka maafisa wa serikali kujiuzulu

  • | NTV Video
    404 views
    Duration: 2:27
    Wagombea wa uchaguzi mdogo wa Malava kaunti ya Kakamega wanaowania kwa vyama vingine wanawataka maafisa wa serikali ambao wanaendelea kumpigia debe mgombea wa kiti hicho kupitia kwa serikali kujiuzulu na kuendeleza kampeni hizo wakisema sheria haikubalii kupiga siasa wakati anahudumu serikalini. #NTVAdhuhuri Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya