Rais william Ruto anaanza ziara ya siku 3 gusii

  • | Citizen TV
    266 views

    Rais William Ruto leo anaanza rasmi ziara ya siku tatu kaunti za kisii na nyamira ambako anatarajiwa kuzindua na kukagua miradi kadhaa ya maendeleo