Nancy Indoveira ' Mathe wa ngara' amefikishwa mahakama ya JKIA

  • | Citizen TV
    2,149 views

    Nancy Indoveria kigunzu anayefahamika maarufu kama "mathe wa ngara" aliyekamatwa baada ya kupatikana na magunia sita ya bangi amefikishwa katika mahakama ya jkia ambapo anatarajiwa kukabiliwa na shtaka la kuhusika na biashara ya ulanguzi wa dawa za kulevya.