Makala ya tano ya mashindano yang'oa nanga Kwale

  • | Citizen TV
    442 views

    Makala ya tano ya Rashid Abdallah Supercup yameng'oa nanga katika kaunti ya Kwale. Mechi ya kwanza ya awamu ya makundi ya makala hayo yanayodhaminiwa na shabiki.com ilichezwa katika uga wa Kombani, Kitivo United wakimenyana na Mende FC.