Afisa wa polisi anayedaiwa kumpiga risasi mwanamke aliyekuwa na ujauzito wa karibu wiki 25 huko Ohio ameshtakiwa kwa mauaji.
Video ya kamera iliyowekwa kwenye nguo iliyotolewa mwaka jana ilionyesha polisi wakijaribu kumzuia Bi Young asiondoke katika gari lake ili waweze kumhoji kuhusu madai ya wizi dukani.
#bbcswahili #marekani #sheria
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Uriri Member of Parliament Mark Nyamita has opined that there is no formidable force in place to remove President William Ruto from office come the 2027 General Election.
15 May 2025
- "We do not have the intention to switch off anyone because there is freedom of expression that is enshrined in the constitution,” Kabogo said.