Polisi azungumzia alivyopoteza pesa kwa biashara ya sarafu

  • | Citizen TV
    1,928 views

    Kitendawili kuhusiana na mshukiwa mkuu wa sakata ya sarafu mjini Eldoret imeendelea, huku sasa afisa wa polisi akiwa wa punde kujitokeza kutoa simulizi yake.