Polisi watakiwa kujitambulisha kwenye maandamano

  • | Citizen TV
    2,821 views

    Mahakama kuu imewapiga marufuku maafisa wa usalama dhidi ya kuficha nyuso zao wanapoendesha majukumu yao wakati wa maandamano. Badala yake maafisa hawa wametakiwa kujiweka wazi na kutambuliwa wanapoendesha kazi zao ili kuhakikisha uwajibikaji