Maseneta wote kusikiliza kesi iliyombandua Gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    4,389 views

    Maseneta wote sasa watasikiliza kesi ya kufurushwa kwa gavana wa Meru Kawira Mwangaza afisini jumatatu na jumanne ijayo. Hii ni baada ya maseneta kupinga hoja ya kubuniwa kwa kamati ya watu 11 kusikiliza madai ya wawakilishi wadi dhidi ya gavana Mwangaza.