Kilimo Biashara | Ndege wa mapambo wanaendelea kuwa maarufu nchini

  • | Citizen TV
    467 views

    Kuongezeka kwa umaarufu wa ndege wa mapambo nchini kumewapa wafugaji wa ndege fursa mpya ya kufuga ndege hao wa kigeni. Shamir Odhiambo ni miongoni mwa wafugaji waliovalia njuga ufugaji wa ndege wa mapambo kwenye shamba lake la robo ekari aunti ya Nakuru,