- 1,060 viewsDuration: 3:11Chama cha madaktari nchini KMPDU leo kimeongoza maandamano kaunti ya Kiambu kulalamikia hali ya afya nchini humo huku sasa waziri wa afya Aden Duale akiilaumu serikali ya kaunti hiyo kwa kujitia hamnazo. Duale sasa akiagiza suluhu ya haraka kwa hali ya afya Kiambu akisema ana ushahidi kuwa vifo vya kina mama vimeongezeka. Madaktari waliondamana nao wakionya hatari zaidi endapo mambo Kiambu hayatashughulikiwa