Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea miradi ya nyumba na ule wa Nyota, asema wakosoaji hawana suluhu mbadala

  • | Citizen TV
    399 views
    Duration: 1:06
    Rais William Ruto ametetea miradi ya nyumba za serikali na ule wa vijana wa Nyota akisema wale wanaopinga miradi hiyo hawana suluhu mbadala na kwamba yao ni maneno matupu. Ruto ameonekana kumjibu aliyekuwa Mwandani Wake Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro aliyeshutumu serikali kwa kukopa pesa zaidi kutoka nchi za nje. Rais alikuwa akizungumza eneo la Konza City alipozindua hazina ya miundo mbinu