Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa chai Kusini mwa bonde la ufa walalamikia malipo duni ya bonasi, wataka mageuzi KTDA

  • | Citizen TV
    174 views
    Duration: 2:46
    Wakulima wa majani chai kutoka kusini mwa bonde la ufa wanataka mabadiliko ya dharura katika sekta ya kilimo hicho kutokana na kile wanachosema ni malipo duni ya bonasi kutoka halmashauri ya KTDA. Kwenye mkutano uliofanyika leo eneo la Mogogosiek eneobunge la Konoin, wakulima hawa sasa wanadai majibu kuhusu ni kwa nini maeneo mengine yalipata bei bora ilhali wakulima wote huzingatia ubora wa chai wanazopeleka KTDA