13 Oct 2025 7:49 pm | Citizen TV 165 views Duration: 1:29 Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars ilifanya mazoezi ya kwanza jijini Abidjan kabla ya mechi dhidi ya Ivory Coast hapo kesho. Hii ikiwa ni mechi ya mwisho ya kundi f ya kusaka tiketi ya kombe la dunia mwaka ujao